GET /api/v0.1/hansard/entries/949297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949297,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949297/?format=api",
    "text_counter": 90,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Shida ya pili ni kwamba labda itakuwa ni vizuri wakipunguza hiyo ada. Hii ndio sababu ninaunga mkono Mswada huu. Baada ya huu Mswada kupitishwa hapa katika Bunge la Seneti, tunataka Mswada kama huu upitishwe katika County Assembly ya Kaunti ya Nairobi. Mimi mwenyewe nitawapatia hao wawakilishi wa Ward waweze kupitisha Mswada kama huu."
}