GET /api/v0.1/hansard/entries/949298/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949298,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949298/?format=api",
    "text_counter": 91,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Juzi nilisema siyo sheria tu ambayo ina tufunga mikono tusiweze kuhudumia watu vizuri. Wakati mwingine ni ukosefu wa utu na kwa kiingereza tunasema “commonsense”. Hakuna sheria ambayo ita kufunza kufikiria maslahi ya mtu wa kawaida au ubadilishe roho yako. Juzi nilikuwa na wachuuzi wangu wa Westlands ambao hapo awali walikuwa katika soko la Westlands. Wali tolewa na kuambiwa, “Sasa tunajenga, kaeni hapa karibu na barabara”. Walitolewa na kuwekwa kwa barabara. Jengo hilo limechukuwa zaidi ya miaka kumi likijengwa."
}