GET /api/v0.1/hansard/entries/949299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949299,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949299/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Juzi tulisukuma maneno na wakaendelea. Lakini baadaye wakafurushwa na serikali hiyo wakiambiwa kwamba inataka kujenga barabara. Hadi wa leo hiyo barabara haijaanza kujengwa na wako nje. Si ingekuwa bora wamalize kujenga soko, wawa hamishe hapo halafu ndio wajenge barabara? Haiwezi kuwa kwamba hatuwafikirii hawa watu wa kawaida. Mama akinyang’anywa bidhaa zake anaambiwa alipe Shilingi 20,000 ndiyo apate bidhaa zake aweze kuendelea na biashara. Ni ukosefu wa utu hata si ukosefu wa sheria. Hawa watu tunasesema washindwe! Ama vile tunavyosema nyumbani riswa!"
}