GET /api/v0.1/hansard/entries/949301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949301,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949301/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Kuna nafasi ambayo ina tosha katika jiji la Nairobi na kaunti zingine kuweza kusema hapa kutakuwa na wachuuzi rejareja na pale pengine duka. Haifai kuwa tusadie hawa halafu tuwadhulumu hao wengine ambao pia wanalipa ushuru kwa serikali. Hii inatokana na ukosefu tu wa mpangilio. Ni rahisi kufanyika na imefanyika katika mataifa mengi ambayo tumetembelea; ambayo yako katika kiwango kimoja na Jamhuri ya Kenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}