GET /api/v0.1/hansard/entries/949302/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949302,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949302/?format=api",
    "text_counter": 95,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Bw. Spika tunasema ya kwamba tuwe na mangilio na orodha ya hawa wachuuzi. Wanafaa wapewe nambari ili tujue wachuuzi wagani ni wa Moi Avenue na watakuwa wanakuja kufanya biashara siku gani. Barabara hii labda itakuwa inafungwa siku zingine ili waweze kuja kuuza hapo. Tunafaa kuwasaidia kukuza biashara zao."
}