GET /api/v0.1/hansard/entries/949304/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949304,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949304/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Kama kungekuwa na serikali ya Kitaifa ama ya Kaunti ambayo inafikiria maslahi ya watu wake, ingechukua watu hao iseme: “tutawajengea hapa vibanda, tupige rangi, tuwasaidie na mahali pa kuweka bidhaa zenu.” Ni nini mihimu, ni kuona tu nafasi ziko wazi ama watu wetu kupata ajira? Haya mambo ya kupamba mazingira tutafanya baada ya vijana wetu kupata ajira."
}