GET /api/v0.1/hansard/entries/949305/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949305,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949305/?format=api",
    "text_counter": 98,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Kuna wachuuzi ambao walikuwa Outer Ring Road na wale wa Mutindwa. Walifukuzwa kwa sababu walikuwa kwa ukuta karibu na shule. Wale wa Kibera hapo kwa DC, walifukuzwa na vibanda vyao kubomolewa. Walifurushwa bila kupewa fidia au pahali pengine pa kufanya biashara yao. Wamebaki hapo nje kwa sababu ilisemekana kwamba walikuwa wanafanya kuwe na ukosefu wa usalama katika shule. Lakini kwa sasa vile wamekosa ajira, si ukosefu wa usalama utazidi? Ni lazima tubadilishe vile tunavyofikiria kuhusu hawa watu wa kawaida."
}