GET /api/v0.1/hansard/entries/949311/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949311,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949311/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sakaja",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13131,
"legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
"slug": "johnson-arthur-sakaja"
},
"content": "Bw. Spika kuna vipengee kadhaa katika Mswada huu ambazo lazima tuta badilisha. Sioni sababu ya Serikali kuu - naomba Sen. Faki anisikize kwa sababu yeye ndiye anakosoa Kiswahili- iwe ndiyo inayochukua orodha ya wachuuzi. Mbona mnataka orodha ya wachuuzi? Kwani kuna orodha ya wafanyibiashara aina tofauti? Hakuna haja hiyo ya orodha iwe katika Serikali kuu. Lakini itakuwa ni vizuri serikali za kaunti ziweze kujua kwa minajili ya kupanga na kuwezesha usalama."
}