GET /api/v0.1/hansard/entries/949313/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949313,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949313/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Hiyo sio haki. Lazima tuangalie jambo hilo ili kumwezesha mwananchi wa kawaida kupata mikopo ambayo anaweza kulipia kwa kiwango cha chini cha riba. Namsihi Sen. Kibiru na Kamati yake wabadilishe annual licence ili leseni zilipiwe kila mwezi au kila wiki. Ni vyema kuwe na Kipengele ili kutengwe pesa ambayo itatumiwa kuhakikisha kwamba pahali wachuuzi wanafanyia kazi pana safishwa na kuna usalama. Nikimalizia kwa sababu nimezungumza kwa muda mrefu kwa lugha ya Kiswahili, kuna Miswada mingi ambayo tumepitisha katika Seneti ambayo imelala katika Bunge la Taifa. Hili ni jambo la kusikitisha sana."
}