GET /api/v0.1/hansard/entries/949318/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949318,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949318/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "na the Kenya Association of Manufacturers (KAM), sio tu watu wanaovaa suti na tai. Private sector ni watu wanaofanya kazi katika masoko kama vile Kamkunji na Gikomba na maserelema wanaounda vitanda Ngong Road. Private sector sio tu watu walio na shahada. Lazima tukumbuke kuwa Mkenya wa kawaida ana maono na anafaa kupata usaidizi na haki katika taifa letu. Asante Bi. Spika wa Muda. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}