GET /api/v0.1/hansard/entries/949320/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949320,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949320/?format=api",
"text_counter": 113,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, wakati Sen. Sakaja alipokuwa anaongea, Sen. Faki alikuwa akimkosoa kwa kumpa maneno mwafaka ya kutumia kama vile “riba” na mengineo. Kwa kuwa ameng’ang’a kadri ya haja, Sen. Faki anafaa amtuze alama kama mwalimu wake kwa kuzungumza Kiswahili."
}