GET /api/v0.1/hansard/entries/949322/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949322,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949322/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "I have already contributed, Madam Temporary Speaker. Ningependa kumsaidia Sen. Kinyua ambaye pia ni mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili na Sen. Sakaja kwa sababu sisi ndio Maseneta wa majiji. Tuko watatu tu hape kwa sababu wengine wote ni Maseneta kutoka vijiji na gatuzi ndogo ndogo. Amepata asilimia 70 kwa 100."
}