GET /api/v0.1/hansard/entries/949324/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949324,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949324/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, mwalimu anapomkosoa mwanafunzi, lazima pia azing’atie mazingara ambayo amekulia. Sisi ni watu wa mtaa kwa sababu mimi nilizaliwa Ngara. Kwa hivyo naomba aniongezee alama ili iwe asilimia 80. Sisi Maseneta wa Majiji tutaleta Mswada ili tukubaliwe kuzungumza lugha ya Sheng kwa sababu kuna watu ambao wanasikia lugha hiyo na wanaielewa sana."
}