GET /api/v0.1/hansard/entries/949353/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949353,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949353/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omanga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13175,
        "legal_name": "Millicent Omanga",
        "slug": "millicent-omanga"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono Mswada huu. Huu ni mswada mzuri sana ambao umeletwa na Mwenyekiti wa Committee onTourism, Trade and Industrialization . Bi. Spika wa Muda, Sen. Mugo, aliyezungumza kabla yangu, aliyatoa maneno mengine kutoka katika kinywa changu; hayo ni maneno kama i mplementation, ama utendaji. Kuna miswada mizuri sana ambayo tunapitisha kwenye Bunge, lakini baada ya kupitisha, utendaji wake, ama ile vile Sen. Mugo alisema, implementation, inakuwa hakuna. Bi. Spika wa Muda, kuna Mswada uliopitishwa kwenye Nyumba hii hapo awali –"
}