GET /api/v0.1/hansard/entries/949484/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949484,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949484/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "ya Navy . Mita kadhaa kutoka pale kuna base ya Kenya Coast Guard . Lakini yote haya ikijumulishwa, tumeshindwa kuondoa gari moja ambalo kwa kusikitisha, ndani kuna mama anayetoka katika eneo la Mvita na mwanawe. Baada ya siku nne tumeshindwa kutoa gari lile. Jambo hilo linatuuliza swali gumu. Hili jambo limeletwa Bungeni na Mbunge mwenzangu, dadangu Mishi. Pengine angeuliza Kamati inayohusika na mambo haya iulize: Hii nchi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}