GET /api/v0.1/hansard/entries/949490/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949490,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949490/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nitawapa muda wa kutosha. Hao wengine kama Mheshimiwa Angwenyi na Mheshimiwa Mbarire waweze kuelewa kabisa ni kiasi gani cha hewa kinatakikana kuingia ndani ya maji mita zile. Mheshimiwa Mohammed Ali, nitakupa dakika moja. Najua watu wa sehemu hiyo wanaogopa lile jambo linaitwa bonga points . Basi nitakupa dakika moja lakini."
}