GET /api/v0.1/hansard/entries/949491/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949491,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949491/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": " Shukrani sana Mheshimiwa spika kwa kunipa fursa hii. Ningependa kuwaunga wenzangu mkono na kuungana na taifa nzima kwa ujumla kutoa rambirambi zetu kwa marehemu Mariam Kighenda na mtoto wake, Amanda. Licha ya hayo, umesema ya kwamba utatutengea muda tuzungumzie jambo hili kwa sababu, iwapo hakutakuwa na suluhu, tutakuwa na matatizo chungu nzima katika siku za usoni. Kwanza kabisa, inaelekea kuwa siku ya tatu Serikali ikiwa imenyamaza na kuangalia tu bila usaidizi wowote. Leo Waziri wa Uchukuzi amemuamrisha Katibu wa Kudumu katika wizara afike pale na kusaidia katika shughuli za kupata maiti. Pesa nyingi zimetolewa katika Huduma ya Kenya Ferry . Karibu Ksh78 milioni zimetolewa kuweka CCTV ya kuangalia kwamba iwapo kutatokea janga lolote, wao wanakuwa wa kwanza kuona matatizo hayo. Kwa kumalizia, safari hii Serikali imefeli. Vifo vya Mariam na mtoto mdogo, Amanda, vimesababishwa na Serikali ya Jamhuri ya Kenya. Ni sharti Serikali ilipe familia ya waathirika na vile vile iwajibike kuhakikisha ya kwamba kivukio cha ferry hakitadhuru mtu yeyote katika siku za usoni. Watu watatu ndio wanafaa waelezee taifa hili jambo hili limetendeka vipi. Wa kwanza ni Bakari Gowa, Mkurugenzi Mkuu wa Kenya Ferry, Brigadia Mstaafu Vincent Naisho The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}