GET /api/v0.1/hansard/entries/949492/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949492,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949492/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Loonena ambaye ni Director General wa Kenya Coast Guard na Meja Generali Levi Franklin Mghalu, Kenya Navy Commander . Hawa ni watu ambao wana uwezo. Walikuwa karibu na wangeokoa mtoto huyo mdogo mwenye miaka minne na mamake. Ilichukua takriban dakika 20 watu hao kutafuta usaidizi pasi na kuupata. Kifo cha Mariam Kighenda na Amanda kimesababishwa na Serikali ya taifa na ni sharti walipwe."
}