GET /api/v0.1/hansard/entries/949702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949702,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949702/?format=api",
    "text_counter": 297,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda.Tuna masikitiko makubwa. Kile KFS imetufanyia ni ya aibu. Ukiangalia ile picha au video ambayo ilionyeshwa, lile gari lilikaa karibu dakika kumi na tano ilhali hakuna hatua za haraka zilichukuliwa. Hilo linadhihirisha udhaifu mkuu. Kampuni ya feri ingelikuwa na wapiga mbizi. Inadhihirisha wazi kuwa walioko hawana moyo"
}