GET /api/v0.1/hansard/entries/949737/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949737,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949737/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Shukran sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Pia mimi ningependa kuchangia na kusema kwamba hii ni aibu hapa nchini Kenya iwapo baada ya kutokea kile kisa cha Mtongwe bado hatujajifunza lolote. Ni aibu kubwa iwapo leo Serikali itatangaza na kusema kwamba haina hewa ya kutosha ama gesi ya kuweza kufika kule chini. Leo Kenya, hatuna fedha za kununua hewa, lakini tuna fedha za kununua vitoa machozi. Leo Kenya, hatuna fedha za kununua hewa, lakini tuna pesa za kununua makumi ya magari kwa viongozi. Leo hii katika Kenya, hatuna pesa ya kununua hewa, lakini tuna pesa za ufisadi."
}