GET /api/v0.1/hansard/entries/949739/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949739,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949739/?format=api",
"text_counter": 334,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Mhusika mkuu, Waziri wa Uchukuzi Bwana Macharia, achukuliwe hatua. Mkurugenzi Mkuu wa Kenya Ferry Services, Kenya Ports Authority (KPA), Maritime Authority of Kenya na Kenya Coast Guards (KCG) wote wachukuliwe hatua za kisheria, maana hii itakuwa ni hekaya za abunwasi. Tutakuwa tunarudia haya miaka nenda miaka rudi."
}