GET /api/v0.1/hansard/entries/949747/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949747,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949747/?format=api",
"text_counter": 342,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Asante sana. Kama anataka nizungumzie pesa ya ufisadi nitampatia. Shilingi bilioni moja nukta nane iliweza kutolewa kununua feri mpya mbili. Hizo pesa hatujui zimeenda wapi. Ferry mpya hatujapata mpaka sasa. Shilingi milioni 78 zilitolewa kwa Kenya Ferry Services iweze kuweka camera za CCTV ili wale ambao wanakaa mahala na kuangalia matukio yote yanayotokea, wakiona shida yeyote wanaweza kuwafikia wananchi kwa haraka. Hizi ndizo pesa ninauliza ziko wapi na zinafanya nini?"
}