GET /api/v0.1/hansard/entries/949749/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949749,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949749/?format=api",
    "text_counter": 344,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Pia, nitazungumzia masuala ya kazi. Vijana wengi wa Pwani hawapewi kazi. Inapofika ni wakati wa kuandika wanajeshi wa maji, vijana wengi walio na ujuzi hawapewi nafasi. Inakuwa ni kupeana kazi kwa kujuana. Bahari ina wenyewe na wenye bahari wanafaa wapewe kazi hii."
}