GET /api/v0.1/hansard/entries/949751/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949751,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949751/?format=api",
    "text_counter": 346,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninasema kwamba leo ninaomba Mariam Kighenda na Amanda Mutheu watusamehe kwa sababu tumefeli kama nchi na tutarekebisha tuweze kuhakikisha kwamba matukio kama haya hayatatokea tena katika siku za usoni."
}