GET /api/v0.1/hansard/entries/949777/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949777,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949777/?format=api",
    "text_counter": 372,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Rabai, ODM",
    "speaker_title": "Hon. William Mwamkale",
    "speaker": {
        "id": 2672,
        "legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
        "slug": "william-kamoti-mwamkale"
    },
    "content": "Serikali wawe wamejitolea. Usiende kuandikwa kama askari wa jeshi la maji kama wewe ni mwoga na hujui kuogelea. Tunaomba Serikali ichukue wale ambao wamejitolea. Wao ndio watatufanyia ile kazi. Wasituletee watu wenye Kizungu kingi na makaratasi mengi na wakati wa ajali ukifika, wanarudi nyuma. Maafisa wa Kenya Navy walikuwa katika uwanja wa Uhuru Gardens wakifanya mazoezi wakati ajali hii ilitokea. Tunashangaa kwa sababu hakuna hata mtu mmoja alifika pale baada ya dakika 15. Tunamuomba Rais angalie wakati…"
}