GET /api/v0.1/hansard/entries/949779/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949779,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949779/?format=api",
    "text_counter": 374,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kinango, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
    "speaker": {
        "id": 13379,
        "legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
        "slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nafikiri utaniongezea dakika moja. Nimesimama kuunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa na Mhe. Mboko wa Likoni. Kwanza kabisa, wacha nichukue nafasi hii kupatiana rambirambi zangu kwa familia ya marehemu mwenda zake ambaye alituacha kwa sababu ya ajali iliyotokea pale Likoni."
}