GET /api/v0.1/hansard/entries/949781/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949781,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949781/?format=api",
"text_counter": 376,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kinango, ODM",
"speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
"speaker": {
"id": 13379,
"legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
"slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
},
"content": "Tutalaumu Mkurugenzi Mkuu wa Kenya Ferry Services lakini wale ambao wako na jukumu la kuhakikisha kwamba wanatetea ama wanaangalia maisha ya binadamu ambao wako katika vitengo vya maji ni maafisa wa Kenya Navy. Ningependa kuomba Waziri wa Usalama na Waziri wa Uchukuzi wachukue jukumu la kukiri makosa yale yaliyofanyika kama yao wala siyo ya wale ambao walikuwa pale. Hivyo ndivyo tutarekebisha mambo nchini mwetu. Hatutawalaumu watu wengine zaidi."
}