GET /api/v0.1/hansard/entries/949782/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949782,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949782/?format=api",
    "text_counter": 377,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kinango, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
    "speaker": {
        "id": 13379,
        "legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
        "slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
    },
    "content": "Pia, ningependa kujulisha Bunge hili la Kitaifa kwamba mambo kama haya yakitokea, Serikali haina mipangiliyo yoyote ya kuhakikisha familia ilioachwa inasaidiwa vizuri. Tangu juzi, tunaona kwa runinga familia ya Mariamu ikiwa imekaa pale chini. Wanalia lakini hata hakuna watu wa kuwasaidia kama vile Kenya Red Cross. Hii inaonyesha aibu kubwa kwa upande wa Serikali ya Kenya. Eti tunajivunia Coast Guards ilhali hatuwezi kusaidia wananchi wetu!"
}