GET /api/v0.1/hansard/entries/949783/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949783,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949783/?format=api",
    "text_counter": 378,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kinango, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
    "speaker": {
        "id": 13379,
        "legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
        "slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
    },
    "content": "Ningependa kuomba Serikali, kama feri bado zitazidi kutumiwa, iwaajiri life savers. Ni lazima wawe mule kwenye feri. Hakuna mahali duniani palipo na huduma za kuvuka maji ambapo hakuna watu ambao kazi yao ni kuangalia usalama wa wale ambao wanatumia maji yale. Hata kwenye ufuo wa bahari, lazima kuwepo na watu ambao watasaidia ikiwa jambo litatokea."
}