GET /api/v0.1/hansard/entries/949798/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 949798,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949798/?format=api",
    "text_counter": 393,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lungalunga, JP",
    "speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii. Kwanza kabisa ninapeana rambirambi zangu pamoja na familia yangu na wana Lungalunga vilevile na Kwale kwa jumla. Haya ni masuala ambayo yamejiri kwa muda mrefu. Janga la kwanza likitokea Likoni bado nilikuwa shuleni. Tulipoteza watu zaidi ya 200. Lamu ilitokea habari kama hii. Familia nzima ikapotea isipokuwa mzazi wa kiume aliyeweza kuogelea kwa masaa matano bila kupata usaidizi wowote kutoka kwa kitengo chochote cha kuangalia hali ya usalama katika nchi hii. Hili suala la kupeana kidole kwa Serikali naliona si suala sawa kwa sababu kila anayepewa nafasi ya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}