GET /api/v0.1/hansard/entries/949801/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949801,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949801/?format=api",
"text_counter": 396,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
"speaker": {
"id": 13274,
"legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
"slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
},
"content": " Hon. Temporary Deputy Speaker, asante sana kwa kunipatia fursa hii nami niweze kuichangia Hoja. Yale yaliyotokea yametuumiza mioyo sana. Naibu Spika wa Muda, kwa niaba ya wakaazi wa Taita Taveta, natoa rambirambi kwa familia ya Mariam na mtoto Mutheu, ambao walipoteza maisha katika mkasa huo. Hili ni jambo la aibu sana na la kusikitisha katika karne hii. Wakenya wanapoteza maisha kwa mambo ambayo yanaweza kuzuilika. Kuna utepetevu fulani na uzembe mkubwa katika shirika la huduma za feri. Ni lazima watu wawajibike kwa kazi ambazo wamepewa kuhudumia wananchi. Wakenya, na viongozi pia, ni lazima tutafakari ni vipi tumejiandaa kukabiliana na majanga kama haya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}