GET /api/v0.1/hansard/entries/949802/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 949802,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/949802/?format=api",
"text_counter": 397,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
"speaker": {
"id": 13274,
"legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
"slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
},
"content": "yanapotokea. Majanga aina tofauti tofauti yanaweza kutokea na ni vipi tumejitayarisha kukabiliana nayo? Nikimalizia, naendelea kutoa pole zangu. Hili liwe janga la mwisho na kila mmoja wetu aweze kuwajibika katika majukumu ambayo amepewa – ayafanye vyema ili tusipate mikasa kama hiyo siku zijazo. Asante sana, Naibu Spika wa Muda."
}