GET /api/v0.1/hansard/entries/950079/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950079,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950079/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa natoa risala zangu za rambirambi kwa familia ya mwendazake mama Mariam pamoja na mwanawe. Kwa niaba yangu na ya watu wa Laikipia Kaunti, ninasema pole sana kwa familia."
}