GET /api/v0.1/hansard/entries/950084/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 950084,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950084/?format=api",
    "text_counter": 251,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Jambo linalonisumbua ni kwamba, gari linaweza kutoka ndani ya feri na kuangaka majini. Je, feri hiyo haikuwa na mlango? Ikiwa haina mlango kama vile Seneta alivyosema, basi haistahili kubeba watu na magari. Ni heri tuweke kanuni ambazo zitazuia feri ambazo hazina milango kuwabeba watu na magari. Tunaambiwa ya kwamba yule mama, eti, alianza kuendesha gari lake kinyumenyume. Alikuwa akienda wapi?"
}