GET /api/v0.1/hansard/entries/950087/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950087,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950087/?format=api",
"text_counter": 254,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Spika wa Muda ni mpaka tuangalie feri zetu ziko katika hali inayofaa. Watu wanapozitumia kuwe na wengine ambao wameshika doria na wanaweza kuwasaidia wakati wa ajali kama hii. Ikiwa halitakuwa funzo kwa mtu yeyote, mwaka ujao utasikia jambo kama hili linatendeka. Tutasimama hapa tena na kutoa pole zetu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}