GET /api/v0.1/hansard/entries/950088/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950088,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950088/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ingekuwa jambo la maana ikiwa kuna somo lolote ambalo tunajifunza kama taifa. Inakuwa sisi ni kama mnyama anayeitwa ngiri. Ukimfukuza alifika pale mbele anasahau. Isiwe sisi kama nchi ni ngiri ambaye akifukuzwa na simba akikimbia mita 30 anasahau lile ambalo limetendeka na inakuwa ni kama kawaida."
}