GET /api/v0.1/hansard/entries/950096/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950096,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950096/?format=api",
"text_counter": 263,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Sen. (Eng.) Hargura anasema pia wao hutumia feri kuvuka kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Kwa hivyo, Serikali inafaa kuangalia maisha ya watu wake. Hili ni jambo ambalo liko kwenye Katiba. Mara nyingi vipengele vya Katiba havizingatiwi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}