GET /api/v0.1/hansard/entries/950105/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950105,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950105/?format=api",
"text_counter": 272,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13119,
"legal_name": "Agnes Zani",
"slug": "agnes-zani"
},
"content": "ambavyo usalama utadhibitishwa. Bila usalama, watoto na wanawake wanaovuka kivukio hicho wanaendelea kuwa na wasiwasi. Sio kitambo tulipokuwa na kisa cha Mtongwe. Baada ya visa kama hivi tunategemea kwamba tutaangalia na kuhakikisha jambo kama hili halitatokea tena. Kwa hivyo, ninamshukuru Sen. Faki kwa kuleta Hoja hii. Ni muhimu tuangalia swala hili na tulimalize kabisa mara moja ili tusiwe na nafasi ya kurejelea tena jambo kama hili."
}