GET /api/v0.1/hansard/entries/950289/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 950289,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950289/?format=api",
    "text_counter": 180,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": "Juzi kulitendeka kisa kibaya sana pale Mombasa Ferry. Kwa kusema ukweli, kama si ufisadi, hakuna vile wananchi maelfu na maelfu wanavuka katika kivuko kile lakini kunakosekana hata mpiga mbizi mmoja ndani ya Ferry . Mpiga mbizi ambaye angalau anatakikana aangalie wakati kumetendeka jambo kama lile. Mama yule na mtoto wake wamepoteza maisha yao kwa sababu ya ufisadi. Kama si ufisadi, yule mama hangekufa, maanake wale wanaosimamia Ferry wamejitwika jukumu la kuangalia makandarasi pekee - Kutafuta njia ya kula pesa. Mara wanatengeneza Ferry lakini haitengenezwi vizuri. Ferry inakosa vitu muhimu vya msingi vya kulinda maisha ya wanadamu kwa sababu watu waliamua kufuja pesa ya Serikali."
}