GET /api/v0.1/hansard/entries/950290/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950290,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950290/?format=api",
"text_counter": 181,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": {
"id": 13509,
"legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
"slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
},
"content": "Jambo hili ni nzito. Hili ni jambo ambalo kama viongozi tukuchukue nafasi yetu tupitishe Mswada kwa sababu Wakenya wanaumia. Wanapoteza maisha kila kukicha. Asante kwa fursa hii na ninasimama kwa vikali sana kuunga mkono sheria hii ambayo imependekezwa na Mheshimiwa Ndindi Nyoro. Asante"
}