GET /api/v0.1/hansard/entries/950292/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 950292,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950292/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Naunga mkono Mheshimiwa Nyoro kwa Mswada huu. Ni kweli kwamba ufisadi unamaliza nchi yetu. Unasababisha maendeleo mengi yasifanyike katika nchi yetu ya Kenya. Maendeleo mengi ambayo yaweza kufanyika na ikasaidia walalahoi hayafanyiki kwa sababu ya ufisadi."
}