GET /api/v0.1/hansard/entries/950294/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 950294,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950294/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Ninataka niongee kidogo kuhusu ufisadi Lamu. Ni muhimu Serikali au vitengo vinavyoangalia ufisadi viangalie Kaunti ya Lamu vizuri. Hii ni kwa sababu kaunti yetu imetengwa na hatutaki iwe imetengwa siku zote au tujiite kaunti iliyotengwa siku zote. Tunataka ifike wakati tuseme na sisi kaunti zingine zije ziangalia Lamu kimaendeleo."
}