GET /api/v0.1/hansard/entries/950299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950299,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950299/?format=api",
"text_counter": 190,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "mikononi mwa Wabunge lakini pesa hizi wale wanyonge hawapati. Mtoto akimaliza shule ya msingi na awe anaenda shule ya upili inafaa apata pesa za kumwezesha kuendelea na elimu yake. Akipata alama ya C+, anapata nafasi ya kuingia chuo kikuu na hapo tunafanya michango ilhali pesa zipo, kisha tunakaa hapa tukizungumzia ufisadi. Najua hapa tukisema itauma lakini ukweli ni mchungu. Sisi pia hapa lazima tuwaangalie wale wanyonge maanake saa nyingine mtindo huu wa Kenya unafanya sisi Wabunge tuangalie mahali kuna kura nyingi. Pengine huyu mnyonge hana kura nyingi kwao na hapo anakosa ile nafasi ya kupata bursary ."
}