GET /api/v0.1/hansard/entries/950300/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950300,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950300/?format=api",
"text_counter": 191,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Tumefanya michango mingi na hadi sasa tunaendelea kuchanga pesa. Michango hii inasababisha hata wengine wetu kutafuta njia ambazo sio za kawaida kutafuta pesa. Michango hufanyika kwa sababu ya ugonjwa, elimu na kadhalika. Ingekuwa vizuri kama pesa za bursaries zingetumwa kwa shule za upili ili wanafunzi wote wanasome bure. Lakini wengi wetu tukiambiwa jambo kama hilo tutakataa. Shida ziko na zinasababishwa na mienendo hii."
}