GET /api/v0.1/hansard/entries/950301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 950301,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950301/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Utashangaa katika Bunge hili, kuna Wabunge wa sehemu zingine ambapo mambo yanafanyika. Unashangaa kwa mwaka mmoja mtu amejenga madarasa arobaini na sehemu zingine madarasa yakizidi ni manne. Wengine bado wanasoma chini ya miti au wanakalia mawe."
}