GET /api/v0.1/hansard/entries/950302/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 950302,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950302/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Tunawaomba Mkaguzi wa Vitabu vya Serikali na EACC wapitie kila sehemu na wawe na bidii zaidi ndio waokoe Kenya kwa maana pesa zinafika na zipo lakini shida ziko pale pale miaka nenda miaka rudi. Kwa mfano, tutasikia pesa za barabara zimetoka. Pengine kama kwetu Lamu East, Ksh98 milioni zitatolewa kujenga barabara. Hiyo barabara baada ya mvua kidogo itaharibika. Sasa tutamlaumu Rais Uhuru? Maanake hapa nchini Kenya kila pahali tunaenda wanamlaumu Rais Uhuru. Kwa nini viongozi wengine wasichukue hayo majukumu ama wahusika wa EACC? Hao ndio wanasababisha Rais kulaumiwa. Wakifanya kazi nzuri na kila mahali kunga’re, Rais hatalaumiwa."
}