GET /api/v0.1/hansard/entries/950382/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 950382,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/950382/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
    "speaker": {
        "id": 13274,
        "legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
        "slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
    },
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa ili niweze kujadili Mswada huu. Ninaunga mkono Mswada huu kwa sababu ufisadi katika nchi yetu ya Kenya umekithiri sana. Hivyo basi, mambo mengi yamekuwa hayaendi ipasavyo. Mambo mengi hayaendi vizuri The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}