GET /api/v0.1/hansard/entries/951316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 951316,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/951316/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": ". Lakini ni masitikiko kwamba Kaunti ya Lamu kwa muda wa miaka mitano, shule nyingi zimefungwa. Hakuna shule za chekechea, msingi na upili. Huu Mswada ni mzuri lakini tunapitishia Wakenya wengine ambao ni bora. Masikitiko sio kwamba sijafanya kazi yangu kama Mbunge. Nimejaribu. Nimeuliza Maswali na nikajibiwa na niakambiwa nipitie kwa wizara na nimepitia huko mara nyingi. Nikienda, ninaambiwa suluhisho itatolewa Jumatatu. Siku hiyo nafika na kuambiwa suluhisho itatolewa jumafulani. Nimeenda mara nyingi lakini ni kama hawataki kutoa suluhisho. Nimeambiwa niandike maombi na nimeandika. Ni kama kuna sehemu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}