GET /api/v0.1/hansard/entries/951319/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 951319,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/951319/?format=api",
"text_counter": 276,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Tunajua Lamu iko Kenya. Sijui kwa nini sheria hizi zipangiwe wengine lakini si sisi. Kuna mipango mizuri ambayo Serikali inafanya, kwa mfano watoto wa msingi wote waende sekondari, lakini hii haiwezi kufanyika Lamu. Inanipatia uchungu sana. Ninaomba Kamati ijue jambo hili na kutafuta suluhisho. Saa hii najipanga kuleta petition ."
}