GET /api/v0.1/hansard/entries/951321/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 951321,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/951321/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Ms.) Soipan Tuya): Kama nimekuelewa vyema Captain Ruweida, unaunga mkono Mswada huu lakini uko na malalamishi mengine. Sijasikia kama umeenda mbele ya Kamati ya Elimu na Utafiti. Kama hujaenda ni vyema upitie kwa Mwenyeketi ili maswala haya umesema yaweza kupata suluhu."
}